:: NYUMBANI :: WASILIANA NASI   :: CONTACT US :: HOME
SDA Tanzania (logo)
Utambulisho
Habari
Miradi iliyopo
Hifadhi ya Habari
Links
Liikunnan Kehitysyhteistyö LiiKe ry

UTAMBULISHO WA SDA

Shirika la msaada wa maendeleo ya michezo liliundwa mwaka 2001 Kusini - mashariki ya Tanzania, katika mkoa wa Mtwara. SDA imesajiliwa kama shirika lisilo la serikali chini ya Baraza la Micheza la Taifa BMT namba 8225 toka Aprili 2004.

SDA inajishughulisha na miradi inayohusu michezo katika shule za msingi kwa ushirikiano wa karibu na mamlaka za shule na za serikali ya mkoa. Lengo la SDA ni kusaidia shule zote za msingi katika mkoa wa mtwara pamoja na wanafunzi wapate ufahamu na kuona umuhimu wa kusoma. SDA inatumia michezo kama chombo cha kufikia maendeleo.

Mwanzilishi na mshirika wa SDA ni LiiKe, shirika la Kifini lisilo la serikali ambalo linashughulika na "Michezo kwa wote" katika nchi zinazoendelea. LiiKe na SDA kwa pamoja wanaunga mkono wazo la Umoja wa Mataifa la Malengo ya maendeleo ya milenia na tamko lake la kuufanya mwaka 2005 kuwa ni mwaka wa kimataifa wa michezo na Elimu ya viungo.

:: Mkakati na malengo ya SDA
:: SDA inatendaje kazi zake?
:: SDA Ufadhili na msaada
:: Wasiliana nasi

Introduction
News
Projects
Material bank
Links
United Nation’s International Year of Sport and Physical Education 2005